ACT Wazalendo watoa salamu za rambirambi Morogoro kufuatia ajali ya Lori
0Udaku SpecialAugust 10, 2019
Chama cha ACT Wazalendo kimepokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa taarifa za Watanzania zaidi ya 50 kupoteza maisha kutokana na mlipuko wa gari ya mafuta huko Msamvu, Morogoro.