Arsenal Wakubaliana na Chelsea Kuhusu Usajili wa David Luiz

Arsenal Wakubaliana na Chelsea Kuhusu Usajili wa David Luiz
Arsenal wamefikia makubaliano na Chelsea kuhusu usajili wa David Luiz kutua Emirates ambao utagharimu £8m, anatarajia kufanya vipimo vya afya leo.

Wakati huo huo Man United wapo kwenye mazungumzo ya kumnasa Mario Mandzukic kutoka Juventus kuziba pengo la Romelu Lukaku aliyetimkia Inter Milan. Lukaku amewasili jijini Milan kukamilisha vipimo vya afya.

Pia Tottenham wamefikia hatua nzuri sana katika mazungumzo yao na Paulo Dybala. Inasemekana usajili huo huenda ukakamilika hivi leo kabla ya dirisha kufungwa. Hata hivyo Giovani Lo Celso na Ryan Sessegnon wanatarajia kutua Spurs.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad