Auawa kwa Kuchomwa Moto Baada ya Kumuua Mkewe!


Wananchi wenye hasira kali wamemuua kisha kumchoma moto Juma Lugomba(61), mkazi wa Kijiji cha Chiwata Kata ya Chiwata Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara, baada ya Juma kudaiwa kumshambulia mkewe kwa shoka na kumuua.

Tukio la kumuua mkewe liliamsha hasira za wakazi wa eneo hilo na kuamua kuchukua sheria mkononi na hatimaye kumpiga na kisha kumchoma moto.

Bado haijawekwa wazi sababu hasa za marehemu huyo kufikia hatua ya kumuua mkewe.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad