Azam FC Yaichakaza Fasil Kenema


Klabu ya Azam imeibuka mbabe kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika ambapo imefanikiwa kuichakaza vibaya Fasil Kenema kwa mabao 3-1 ambapo katika mechi ya kwanza walifungwa 1-0.

FT: Azam FC 3-1 Fasil Kenema (Agg: 3-2)
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad