Baada ya Kutangaza kuwa Harmonize yupo njiani kuondoka WCB, Sallam SK atangaza balaa lingine

Baada ya kutangaza kuwa Harmonize yupo njiani kuondoka WCB, @sallam_sk atangaza balaa lingine ‘Tumerudi kibiashara zaidi’

 Ikiwa ni siku chache zimepita tangu Meneja wa Diamond Platnumz, Sallam atangaze kuwa Harmonize yupo mbioni kutemana na lebo ya muziki ya WCB, Kiongozi huyo ametangaza habari njema kwa mashabiki wa WCB.

Sallam amesema kuwa kuanzia sasa ni mwendo wa kuchukua tuzo na shows za kutosha kutoka kwa wasanii waliochini ya Lebo hiyo.

Kuwahakikishia hilo mashabiki wa WCB, Sallam amesema wiki hii Diamond Platnumz anaachia ngoma mpya

“Tumerudi kibiashara zaidi. Ni mwendo wa tuzo, Muziki na shows za kutosha. Diamond Platnumz anadondosha ngoma mpya wiki hii,“ameahidi Sallam kupitia ukurasa wake wa Instagram.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad