Balozi wa Rwanda nchini Tanzania Amtembelea Spika Ndugai

Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Eugene Kayihura amemtembelea Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi hapa nchini.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad