Tanzania Tunakwama Wapi...Unaambiwa UGANDA Kuanza Kuuza Bangi....

UGANDA KUANZA KUUZA BANGI KIMATAIFA - Wakaguzi wa Umoja wa Ulaya wameidhinisha Uganda kutuma bangi barani humo kwa matumizi ya matibabu - Ni nchi pekee Afrika Mashariki iliyohalalisha uzalishaji wa bangi kwa matumizi ya dawa

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Si kila kitu cha kuiga. Wakati mwingine unaangalia na uwezo wako.
    UsirudieKosaKupigiaKuraUpinzaniOvyo!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad