Mshambuliaji wa Azam FC, Nado ajibu kuhusu kiatu cha Mfungaji Bora

Mshambuliaji wa Azam FC, Nado ajibu kuhusu kiatu cha Mfungaji Bora
Mchezaji bIddy Seleman 'Nado' ameanza vizuri msimu wa Ligi KuuTanzania Bara kwa kufunga goli kwenye mchezo wa kwanza wakati timu yake ya Azam ikicheza na KMC FC na kuibuka na ushindi wa bao 1-0.

Hata hivyo mchezaji huyo amesema hafikirii kuwa miongoni mwa wachezaji wanaowania kiatu cha ufungaji bora msimu huu.

"Siwezi nikasema nitakuwa mfungaji bora lakini Mungu akijalia napenda iwe hivyo na ninaamini inawezekana. Mpira ni mchezo wa hadharani ukijituma kilakitu kinawezekana," Iddy Seleman,
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad