Breaking News; Lori Jingine la Mafuta Lateketea Ruvuma



Breaking News; Lori Jingine la Mafuta Lateketea Ruvuma



Lori jingine la mafuta aina ya Scania, lenye namba ya usajili T 243 BCU, na tela T 685 DCV mali ya Kampuni ya Njombe Filling Station, limeteketea kwa moto baada ya kupata ajali katika Kijiji cha Ngadinda Halmashauri ya Madaba Ruvuma.


Kamanda wa Polisi amethibitisha kuungua kwa Lori hilo na kusisitiza.
Imeelezwa kuwa Dereva wa lori hilo hajapatikana na inasadikiwa huenda atakuwa ameungua kwa  moto huo.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad