BREAKING NEWS; Ndege yapata Ajali Mafia

BREAKING NEWS; Ndege Ndogo yapata Ajali Mafia
Habari zilizo tufikia hivi punde kumetokea ajali ya ndege ndogo iliyo kua ikijaribu kuruka kutoka uwanja wa ndege wa Mafia.

kamanda wa polisi kanda maalumu ya kibiti onesmo lyanga amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na atatoa taarifa kamili baadae
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad