BreakingNews: ‪Basi la Kampuni ya Hood Lapata Ajali....

BreakingNews ‬
‪Basi la kampuni ya Hood lenye namba T 779 AVL lililokuwa likitokea mkoani Arusha kuelekea Mbeya limepata ajali katika kijiji cha Uchira wilayani Moshi.‬
‪Ajali hiyo imetokea majira ya saa 1:30 asubuhi na abiria wote wako salama.‬
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad