Chama cha Wajane Wamtembelea Jacqueline Mengi

UMOJA wa Chama cha Wajane na Wagane nchini wamefunga safari mpaka nyumbani kwa mjane wa marehemu Reginald Mengi, anayefahamika kwa jina la Jacqueline Mengi, kwa lengo la kumfariji ikiwa ni miezi michache imepita tangu mumewe afariki dunia.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad