DIAMOND atangaza kununua Ndege (JET) yake mwaka huu au mwakani 👉

DIAMOND atangaza kununua Ndege (JET) yake mwaka huu au mwakani, Amedai  yeye anafaya kazi sana hata wakati wengine wamelala yeye anapiga kazi

PIA amesema birthday yake ya mwaka huu atanunua gari aina ya Rolls Royce lenye thamani ya zaidi ya Shilingi Milioni 600 za Kitanzania

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad