Dkt Bashiru Ally akemea tabia hii ndani ya CCM


Katibu mkuu wa CCM, Dkt Bashiru Ally Kakurwa amesema hataki kusikia kikundi au umoja unaoitwa shirikisho la Walimu wa CCM.

Alisema Katiba ya CCM haionyeshi umoja huo popote unaojulikana kama shirikisho la Walimu,
alisema kuendelea kulea mambo haya mwisho litakuja shirikisho la Polisi na mashirikiano mengine.

Katibu mkuu amekemea tabia hiyo ya Walimu kwa kusema kama ni wanachama wa Chama cha Mapinduzi basi wafanye shughuli zao kupitia jumuiya zilizopo kikanuni na wabaki kufundisha.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad