Ebitoke Alia Kwa Uchungu Watu Kumsema Vibaya Kuwa Mapenzini na Mlela...'Kwanini Mnitoe Kasoro'

Huku penzi la Mlela na Ebitoke likiwa limepamba moto kuna watu pembeni na kwenye mitandao wanasema hawaendani kabisa eti kuwa Mlela anafaa kuwa na mrembo zaidi ya Ebitoke kwani ni Handsome

Ebitoke amefunguka haya kwa uchungu:

"Hivi binadamu mkoje jamani, inamaana me sio mwanamke mpaka mnitoe kasoro kiasi hiki. Mimi siwez pendwa?, acheni wivu, watu wakipendana ni makosa?. Nipumzisheni!" - Ebitoke aka Ebilela
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad