Eden Hazard Akabithiwa Jezi Namba ya Christiano Ronaldo

Eden Hazard atavaa jezi No 7 ndani ya Real Madrid, akichukua jezi iliyowahi kuvaliwa na Cristiano Ronaldo.

Klabu hiyo imeweka wazi kwamba mchezaji huyo atavaa jezi hiyo kwenye tovuti ya Real Madrid.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad