Emmanuel Adebayor Sasa Kucheza Ligi Kuu Nchini Uturuki

Emmanuel Adebayor sasa kucheza Ligi kuu nchini Uturuki
Mshambuliaji wa kimataifa wa Togo Emmanuel Adebayor amejiunga na klabu ya Kayserispor ligi kuu nchini Uturuki kwa mkataba wa mwaka mmoja.

Adebayor mwenye umri wa miaka 35alikuwa hana timu baada kumaliza mkataba na Istanbul Basaksehir katika majira ya kiangazi mwaka huu.

Hii itakuwa ni timu yake ya tisa kuichezea katika maisha yake ya soka tangu aondoke nchini kwao Togo mwaka 2001.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad