FID Q 'Mimi ni Shule Tosha Kupitia Ngoma zangu'


“Mimi ni shule tosha kupitia ngoma zangu, mimi natoa elimu kwa watu kupitia ngoma zangu, ndiyo maana hata wakati naingia kwenye game dhumuni langu lilikuwa ni ku-share na watu maarifa ambayo ninayo na hata noti zilifuata baadae” ||

Ameyasema hayo FID Q katika Kipindi cha #XXL.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad