Harmonize atoa ngoma ya kwanza tokea ajiengue WASAFI. Ashindwa kufikisha views 100K ndani ya masaa 10


Msanii Harmonize aka Konde Boy ametoa ngoma mpya akiwa na Eddy Kenzo kutoka Uganda inayoitwa 'Inabana'. Ikumbukwe hii ngoma yake ya kwanza tokea akiwa msanii Solo, hivyo kionjo cha Wasafi kama ilivyozeoeleka hakipo, kinasikika kionjo cha Dully Sykes 'ooh nice, This is Serious'. Pia video amefanya kwa Hanscana.

Video ndani ya masaa kumi ilikuwa na Viewers 65,000 (65K)

Mimi nimependa hapa ' ....Fundi kakosea kuishona, hata kichwa hakiezi ingia ...INABANA...🎤🎼🎹🎶

Angalia kichupa hapa


Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kumbe view za wasafi hazina maana ya uzuri wa wimbo bali ni za namna namna tu. Wimbo wa Wasafi hata ukiwa mbaya utapata views tu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. io inaitwa wcb. binafsi mi hadi leo sija ingia youtube ku view hio video. fans wengi wa wcb wamefanya km mimi.

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad