Inter Milan wapania kumng'oa Lukaku Man United



Mkurugenzi wa klabu ya Inter Milan Beppe Moratta amesema bado anashughulikia suala la usajili wa Romelu Lukaku wa Manchester United.

Ikumbukwe Man United imekataa dau la awali la Inter Milan la Pauni 54 milioni kumruhusu nyota huyo wa Ubelgiji, wanataka dau liongezwe zaidi kutokana na thamani yake.

Hata hivyo Moratta amebainisha kuwa, bado wanania ya kumsajili Lukaku wataendelea na mazungumzi na Man United.

Wakati Inter Milan wakihangaikia suala la pesa, Juventus nayo imekoleza presha ya kumsaka mchezaji huyo huku wakitaka kumtoa Paulo Dyabala kwenda Man United kama sehemu ya dili hilo.
HABARI HIZI ZOTE UTAZIPATA KATIKA APP YETU YA MUUNGWANA BLOG  BOFYA HAPA KU-DOWNLOAD SASA ..
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad