Jokate Afunguka "Rais Magufuli Angeweweseka Huko Juu na Sisi Huku Chini Tungeweweseka"



"Tunajiita Team Magufuli na tunapata nguvu ya kupambania Watanzania kwasababu mwanga tunauona kutokana na utendaji wa Rais Magufuli, yeye angeweweseka huku chini tungeweweseka, Kisarawe imebarikiwa awamu hii na 2020 Rais Magufuli lazima ashinde kwa 100%"-DC JOKATE

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad