Kabendera asomewa mashitaka matatu Mahakama ya Kisutu jijini Dar



Mwandishi wa habari wa kujitegemea, Erick Kabendera leo Agosti 5, 2019 amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kusomewa mashitaka matatu chini ya sheria uhujumu Uchumi.


1) Kujihusisha na mtandao wa uhalifu (Uhujumu Uchumi)
2) Kukwepa kulipa kodi (TZS 173,247,047.02)
3) Utakatishaji fedha Makosa yote ni ya kuanzia 2015 hadi 2019.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad