Khadija Kopa "Watu wa Siku Hizi Hawajui Bajeti ya Mapenzi Kazi Kufokafoka tu”

“Unapiganaje na mke mwenzio? Yeye akirusha risasi wewe rusha atomic. Yeye akimpikia bwana chapati wewe pika mkate wa ufuta, kuku na ndizi za kupaka. Sasa unagombanaje na mke wenzako ? Hakuna haja ya kugombana na mke mwenzio wewe fanya vitu ili mwanaume azidishe mapenzi upande wako. Watu wa siku hizi hawajui bajeti ya mapenzi kazi kufokafoka tu”- Khadija Kopa.

Toa maoni yako

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad