Kimenuka..Waziri Lukuvi Awasimamisha Kazi Watumishi 183 Wizara ya Ardhi


Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi , William Lukuvi  amewasimamisha kazi watumishi 183 wa wizara hiyo kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazowakabili.

*Nafasi za Ajira na Scholarships Tanzania

Watumishi hao ambao waziri huyo amekabidhi majina yao Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kwa ajili ya uchunguzi, wanadaiwa  kuingilia mfumo wa kukadiria na kukusanya kodi ya pango ya ardhi kinyume na taratibu na kusababisha upotevu wa mapato ya Serikali.
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hongera Lukuvi na onyo stahiki.
    sasa hiyo tisa .
    Tuazo hati tarajiwa jijini Doddoma toka enzi za CDA na zingine za Iyumbu NHC mpaka kesho hatujaitwa kupewa wanajijengea yale Mazingira ya kivile..Wame sahau kuwa Wizara iko hapa Na hii si Awamu ya kujenga yale mazingira ambayo mheshimiwa Rais kipenzi chetu JPJM ANAYAPIGA VITA.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Cha kustaajabisha Zaidi hapo Iyumbu tunatautwa kwa simu na kuambiwa kwa ajili ya ussafi kila siku tunadaiwa 1000 kwa mwezi30000 kwa mwaka laki 365000 mara nyumba 200 =7300000000
      je hizimil 73 zinaeleweka au zinahitaji utumbuzi wa mlolongo wote?

      hapo bado jiji na Ardhi hawaja kuja na koi zao na nyumba hatuja kabidhiana wala hati kuzipata Luuvi liangaie hili kabla haujalifikisha kwa mtetezi wa wanyonge JPM.

      TUNAUPENDA NA KUWAPENDA WAADILIFU NA SI MAGUMASHI.

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad