Web

Kwa mara ya kwanza Afrika watu walio na jinsia mbili wasajiliwa Kenya

Top Post Ad


Kenya inaandikisha historia barani Afrika kwa kuwajumuisha huntha (watu wanaozaliwa na jinsia mbili) kwenye zoezi la kuhesabu Wakenya. James Karanja, ambaye alilelewa kama msichana hadi akiwa miaka 18, anaeleza masaibu yanayowakumba watu wanaozaliwa na hali kama yake.

Below Post Ad

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.