Kwangwaru ya Harmonize ft Rais Magufuli yaacha gumzo!
1
August 02, 2019
Nyota anayetamba kwa sasa katika tasnia na muziki wa Bongo Fleva Harmonize amezidi kukonga nyoyo za Watanzania baada ya kuachia Remix ya Kwangwaru akimshirikisha Rais wa John Magufuli.
Harmonize ambaye anatokea lebo ya WCB ndani ya wimbo huo ndani ya wimbo huo ameweka vipande kadhaa vya video vinavyoonesha Rais Magufuli akifanya shughuli mbalimbali katika harakati zake za kuisukuma mbele Tanzania ya viwanda.
Image result for cool gif
Wimbo huo umeamsha hisia za Watanzania wengi mtandaoni na kutoa yao ya moyoni kuhusu remix ya wimbo huo ambao ulifanya vizuri sana.
Katika wimbo huo, Harmonize amemsifu rais Magufuli kwa utendaji kazi wake bora katika kuhakikisha Tanzania inakuwa moja ya nchi zenye uchumi wenye nguvu Afrika. Amezungumzia maendeleo katika sekta mbalimbali kama vile afya, usafiri, ulinzi na kadhalika ambayo mpaka sasa Rais Magufuli amefanya vema sana.
Angalia remix yenyewe hapa.
Haya ndiyo maoni ya Watanzania
nadia amisha
Wale tuliorudia kuhangalia hii video tujuwane kwa like 💪💪💪💪
charles enock
Some thing touching my heart daah u can cry because of this good job
Daah !!!kweli Magu mwacheni
zainabu Zainabu
Wow mashallah tabarak Harmonize 💝💝💝💝💝💝👍👍👍
Alindwa Bandio
Kwa mashairi uko vizuri Harmonize
Bushasha Samsong
Kama umeona kwamba JPM akashapita 2020 kwasababu ya huu wimbo basi tujuane.
Son P
Hapo Sina comment ngoja nisome za watu
alex makacha
Kweli umeamua harmo
Richard Mbassa
Woyooii wachawi wakae pembeni
Yassin Walukeba
Jamaaa kaua kinyamaaaaaa
mjota info mjota info
Simama imara Baba Magufuli
Ally Nassor
Hapo nimekuelewa safi Sana kazi nzuri uzalendo zaidi
Peninnah Tangeni
I love this all the way from Namibia 🇳🇦 . You’re blessed brother Harmonize . What a golden voice keep its up 💙💜💚
Keystone bizinengaa
Wale tunaojifanya hatumpend magufuri lakn video kama hizi tunarudia kuangalia Mara mbili mbili, tuna comment wapi😂😂😂😂😂😂😂
issa Mustafa
Pale usafini akitoka mond mtu mbaya unafata konde mtu atali kazi nzuri jpm 2020 kula zetu zote zako kila heri
muhdin hassanaly
Saluti kwako broo hukoseagi mungu akuongoze uzidi kuwa makini zaidi inshaallah
me sijui lolote
ReplyDelete