Lulu Diva Ataja Idadi ya Wanaume Wanaomtumia DM Kwa Siku

Aidha, Lulu Diva amesema kwa siku huwa anapokea DM meseji 100, 200, hadi 300 kutoka kwa wanaume kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram, wakimtaka kimapenzi ila kwa bahati nzuri au mbaya huwa hasomagi na hafatilii hizo meseji.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad