Mama Dangote 'Mahaba Yameanza Kwa Watu Wazima Nyie Watoto Kazi Yenu Kuiga tu...Hivyo Msinishangae"


Mama Dangote amewafumua wale wote ambao hawaishi kumsema kwenye mitandao kuwa anapost picha za mahaba yeye na mume wake, licha ya kuwa ni mtu mzima.

Kwenye moja ya Interview Mama Dangote aliulizwa kuwa ana kipi cha kusema kwa wale waosema unapost picha za mahaba na mumeo aliyakuwa nyie ni watu wazima.

"Wanaosema nawashanga kwani kama mahaba si yameanzia kwa wakubwa watoto kazi yao kuiga tu kwahiyo watuache"
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad