Mama Janeth Magufuli afanya mazungumzo na Mke wa Rais wa Afrika Kusini

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwa katika mazungumzo na mke wa Rais wa Afrika Kusini Dkt. Tshepo Motsepe-Ramaphosa mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akimkabidhi zawadi ya Picha mke wa Rais wa Afrika Kusini Dkt. Tshepo Motsepe-Ramaphosa mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad