Mavugo anyakua tuzo ya ufungaji bora Zambia

 

Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Simba, Laudit Mavugo, ametwaa tuzo ya ufungaji bora nchini Zambia. 


Mavugo ambaye anakipiga na Napsa Stars hivi sasa ya nchini humo, ameisaidia timu hiyo kupata jumla ya mabao 10. 


Straka huyo aliyekuwa hana bahati alipojiunga na Simba misimu kadhaa iliypita, amekuwa mchezaji tegemeo kunako timu yake.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad