Mbunge Musukuma aibuka na sakata la ndege “nitawataja nikipata ulinzi”

Mbunge wa Jimbo la Geita Vijijini Joseph Kasheku Msukuma amesema kuwa wapo viongozi wa serikali wanaomzunguka Rais Dk. John Magufuli, na kushangilia kukamatwa kwa ndege ya Air Tanzania nchini Afrika ya Kusini ambapo amesema atawataja kama akipewa ulinzi.

“ ”

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Apana Ngosha...!!!
    Kaa nao tu Moyonni kwako usizue Fitina ajili wao wanajijua na Dhamira zao mbaya juu ya kipenzi chetu JPJM.

    Allah atamlinda na hawa wasaliti na mbinu zao potofu. Na sisi tunaendelea kumuombea na kuliombea Taifa letu.
    Ntakutafuta Dodoma .

    Ntaungumzza na Ninja na Diwani juu ya mtonyo.

    ReplyDelete
  2. Mwangaluka wiza..!! Apana Ngosha...!!!
    Kaa nao tu Moyonni kwako usizue Fitina ajili wao wanajijua na Dhamira zao mbaya juu ya kipenzi chetu JPJM.

    Allah atamlinda na hawa wasaliti na mbinu zao potofu. Na sisi tunaendelea kumuombea na kuliombea Taifa letu.
    Ntakutafuta Dodoma .

    Ntaungumzza na Ninja na Diwani juu ya mtonyo. kwa nyakati tofauti.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad