Mbunge Professor Jay na Producer Majani, wawashana mitandaoni


Msanii wa muziki wa hip hop, Professor Jay ambaye ni mbunge wa Mikumi, amefunguka akiwalalamikia COSOTA kwa kudai kuongea uongo kuhusu kusema kuwa COSOTA ilimsaidia Professor Jay kulipwa fedha kutoka Uganda na hapo Professor Jay aliandika ujumbe huu:-



“COSOTA Mmekuja kwenye kikao cha kamati ya Bunge na kusema uwongo kwamba mmenisimamia mimi PROFESSOR JAY nikalipwa sh.Milioni 100 kutoka UGANDA ukweli ni kwamba sijalipwa hata cent TANO na PESA Zote amelipwa PFUNK MAJANI chini ya usimamizi wenu Wekeni vizuri hiyo kumbukumbu yenu🙏🏻”


Joseph L. Haule

@ProfessorJayTz
 COSOTA Mmekuja kwenye kikao cha kamati ya Bunge na kusema uwongo kwamba mmenisimamia mimi PROFESSOR JAY nikalipwa sh.Milioni 100 kutoka UGANDA ukweli ni kwamba sijalipwa hata cent TANO na PESA Zote amelipwa PFUNK MAJANI chini ya usimamizi wenu Wekeni vizuri hiyo kumbukumbu yenu🙏🏻

Na baada ya kauli hiyo ya Mheshimiwa Mbunge wa Mikumi imemfanya Producer mkongwe kwenye muziki wa Bongo Fleva Majani kukasirishwa na kauli hiyo ya mheshimiwa na kuandika ujumbe huu.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad