Mexco: Watu 23 wafariki na wengine 13 kujeruhiwa vibaya na moto


Jumla ya watu 23 wamefariki na wengine 13 kujeruhiwa vibaya baada ya moto kuzuka katika klabu ya usiku mashariki mwa Mexico siku ya jana.

Moto huo ulichoma baa moja huko Coatzacoalcos, mji wa pwani katika jimbo la mashariki mwa Veracruz, ofisi ya wakili mkuu wa serikali ilisema katika taarifa usiku wa manane.

Wanawake nane na wanaume 15 walifariki katika mkasa huo, huku wengine 13 wakiendelea kupokea matibabu hospitalini wengi wao wakiwa katika hali mahututi. Mamlaka ya eneo hilo inachunguza kilichosababisha moto huo na ikiwa baa hilo lilichomwa kimakusud
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad