Mgonjwa Aliyepelekwa Kutoa Hela Bank Azua Gumzo Uganda....

John Zabazungu (marehemu sasa) kutoka nchini Uganda akiwa kwenye kiti cha wagonjwa alipopelekwa benki Agosti 12 kutoa fedha za kulipia matibabu.

Zabazungu alifariki dunia juzi Agosti 25, lakini kitendo cha kupelekwa benki akiwa mgonjwa kilikosolewa vikali, wengi wakihoji maadili ya wauguzi na benki.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad