Mo Dewji awapiga vijembe Yanga SC ‘Pesa tunazo, Wenzetu ni timu ya Wananchi basi Simba ni timu ya watu’



Mfanyabiashara na Mwenyekiti wa bodi ya wadhamini wa klabu ya Simba, Mo Dewji amesema kuwa anakusudia kununua timu inayoshiri Ligi daraja la kwanza na kuibadilisha jina iitwe Simba, Na ishiriki kwenye ligi hiyo ili kusaidia wachezaji wanaotoka Simba B kushiriki kwenye mashindano hayo.



Mo Dewji ameyasema hayo leo Jumatatu Agosti 5, 2019 kwenye hafla ya uzinduzi wa ujenzi wa kiwanja cha Klabu ya Simba eneo la Boko jijini dar es Salaam.

Kwa upande mwingine,  Mo amewataka mashabiki wa Simba wajitokeze kwa wingi Uwanja wa Taifa katika kuadhimisha Simba Day


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad