Moshi Mweupe Wamuangukia Tena Askofu Shoo Kuliongoza KKKT


Askofu Dk Fredrick Shoo amechaguliwa tena kuliongoza Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) kwa kipindi cha miaka minne baada ya kuibuka mshindi kwa kupata kura 144.

Uchaguzi huo ambao ulifanyika jana na kutangazwa majira ya usiku ambapo alitangazwa Askofu Shoo kupata kura 144 kati ya 218 zilizopigwa katika kinyang’anyiro hicho.



Katika uchaguzi huo mpinzani wake Askofu Dk Abednego keshomshahara alipata kura 74.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad