Mtambo wa kuua mbu wa Dengue inapulizwa usiku “wewe fungu dirisha iingie” (+video)



Leo August 8, 2019 Kuna hii kutoka Mkoani Tanga katika Halmashauri ya Jiji hilo ambapo usiku wa August 7, 2019 imepuliza dawa ya kuua na kuteketeza mbu wapevu wanaosababisha ugonjwa wa Dengue katika maeneo yote ya Jiji.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad