Muuza DUKA la Dawa Nusura Kuuawa Baada ya Kumgusa Mtoto wa Miaka 4 na Uume Wake

Pichani dingi huyo Kwa jina la Clement(60) amenusurika kuuliwa nchini Nigeria na kundi la watu wenye hasira kali baada kumnyanyasa kingono mtoto wa kike mwenye miaka 4

Awali, mtoto huyo alitumwa kununua vitamin C katika duka la dawa za binadamu ambalo muuzaji ni huyo Clement lakini Wakati aliporudi nyumbani mwanafamilia aligundua mtoto huyo utembeaji wake sio wa kawaida na hata usoni hakuwa Kwenye Hali ya kawaida. Alipo dodos Kwa makini mtoto huyo akasema Clement alimbusu kisha Kisha akamgusa mtoto huyo sehemu zake nyeti Kwa kutumia uume wake

Mara baada ya muda watu kugundua kitendo hicho hasira zikawapanda wakataka kumshushia kipigo kikali sababu imeelezwa mzee huyo tayari ameshawafanyis unyanyasaji huo wa kingono watoto wengine wa eneo hilo

Hata hivyo police waliwahi Kisha kumtia pingu Clement
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad