Ndoa ya Sugu yampiga ‘stop’ Faiza kutoka China



Shughuli ya harusi yake aliyoitangaza Mbunge wa Mbeya-Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ inamtesa kinoma mzazi mwenzake, Faiza Ally, kiasi cha kusitishe safari ya kurudi Bongo hadi shughuli hiyo ipite.

Faiza amesisitiza kuwa hakuna asiyejua ni jinsi gani anampenda Sugu hivyo ameamua kujipotezea na kazi zake mpaka harusi ipite.


“Kwani hata wewe mwandishi hujui kuwa ninampenda Sugu? Kiukweli ninaumia sana kwa sababu siwezi kupenda mwanaume hapa duniani kama yule, ngoja nijizubaishe huku China, nifanye kazi za watu hadi harusi iishe ndiyo nitarudi Bongo, sitaki stresi mimi,” amesema Faiza aliyezaa mtoto mmoja na Sugu huku akisisitiza kuwa hata kama ameoa, bado anampenda.

“Imebidi nipeleke Safari mbele ya kurudi Tanzania baada Kujua baba Sasha anaoa tarehe 31/8 endeleeni tu kutoa oda mpaka harusi ipite ndio nitarudi wateja wangu.. nibebe mizigo yangu ni ngumu kuwepo wakati wa tukio …maana baba Sasha ni mwanaume ninae mpenda kushinda wanaume wote duniani.

“baba mtoto sikutakii heri yakikushinda rudi mie najua huna furaha ila maisha lzm yaendelee moyo wangu unaamini unanipenda kama ninavyo kupenda.”
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad