Nigeria Yajitoa Michuano ya Afrika kwa Wenye Ulemavu kwa Kukosa Fedha

Timu ya taifa ya mchezo wa wavu ya wenye ulemavu ya Nigeria imejitoa kwenye michuano ya klabu bingwa Afrika mchezo wa wavu kwa wachezaji wenye ulemavu.

Katibu mkuu wa kamati ya michuano hiyo Celestin Nzeyimana amethibitisha kujitoa kwa Nigeria, na kueleza kuwa, sababu kubwa ni ukosefu wa fedha ndio umechangia.

Michuano hiyo inayotajiwa kufanyika jijini Kigali Rwanda, ambapo Rwanda wanakuwa wenyeji wa michuano hiyo kwa mara ya tatu sasa. Michuano hiyo itatoa timu zitakazowakilisha bara la Afrika katika mashindano ya Olimpiki yatakayofanyika mwakani nchini Japan.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad