“Nimetumia Dawa za UKIMWI Miaka 10 Nimekuja Kugundua Sina UKIMWI, Nilipewa Majibu ya Mtu Mwingine Kimakosa”


Frederick Richard anasema juzi ndiyo yeye na Familia yake wamethibitisha kwamba alipewa majibu ya Mtu mwingine kimakosa Hospitali alipokwenda kupima afya yake na kuambiwa kwamba ana virusi vya UKIMWI,  miaka 10 baadae wamekuja kujiridhisha kwamba hana virusi vya UKIMWI bali alipewa majibu ya Mtu mwingine, bonyeza hapa chini kumtazama mwanzo mwisho


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad