Paul Pogba akabiliwa na Ubaguzi wa Rangi mtandaoni


Mchezaji wa Man United Paul Pogba amekumbana na matusi ya ubaguzi wa rangi mtandaoni baada ya kupoteza penalti dhidi ya Wolves katika mechi ya kusisimua.

Timu hizo zilikuwa sare ya 1-1 katika kipindi cha pili wakati raia huyo wa Ufaransa alipopewa nafasi ya kupiga penalti baada ya kuchezewa visivyo.

Mashabiki wa Man United walishikwa na hasira mechi hiyo ilipomalizika kwa sare na kumwekea Pogba lawama zote kuwa ni kikwazo kwa wao kutoambulia alama tatu muhimu kwenye mchezo huo wa Ligi Kuu nchini
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad