Penzi la EBITOKE na Muigizaji wa filamu za Bongomovies MLELA Lazidi kupamba motooo, PICHANI wakiwa wana Enjoooy Mahaba yao... Ebitoke mwaka juzi alitamba mitandaoni akidai yeye ni bikira lakini akaibuka Ben Pol na Kuitoa Bikira hiyo iliyokuwa inatufanya tusilale usingizi...
Soma Comments za Wadau
doro_cute69's
Ben pol ashatoa sealed 😢😢😂 Mimi sio used niko silidi
recho.richard.148
mwacheni ebitoke ale Raha kwan yeye si mwanamke
black_mamba_officiall
Hiyo ni miguu yao Au miguu ya Baunsa 😂😂😂😂
jacq495
😀😀😀 na wataachana tuu
salmamkoganya
Wale Raha zao Tu Kumbe Nini
vangullaka
Hao wanaigiza bhanaas
official_medeetz
Simba akikosa nyama hula hata majani😎😎😎
23mReply
ramasnongo
Yaan ndo utajua katelelo INA nguvu
kimario_hellen
Mtaachana tu😂😂😂😂😂
machangulight
Mimi nimeona hiyo miguu inavyo fanana😂😂😂