Pigo Chadema Madiwani wawili watimkia CCM na kujiuzulu nafasi zote


Madiwani wawili waliokuwa CHADEMA kata za Tegeruka (Benjamin Peter Maheke) na Busambara (Ngero Anthony Kibuyu) wamejiuzulu nafasi zao zote ndani ya chama hicho na kujiunga na CCM katika jitihada za kuunga mkono juhudi za Rais John Magufuli katika kuwaletea wananchi maendeleo.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad