Mwenyekiti wa SADC, Rais Dkt Magufuli ametoa vitabu vya Kiswahili kwa viongozi wote wa nchi wanachama wa SADC, huku akizisihi nchi ambazo hazijaanza kufundisha lugha hiyo kufanya hivyo, na kwamba #Tanzania itatoa walimu na vitendea kazi vingine vya kufundishia.