Rais Magufuli Ametoa Shilingi Laki Tano Kwa Kila Majeruhi wa Ajali ya Moto


Rais Magufuli ametoa shilingi laki tano kwa kila majeruhi wa ajali ya moto iliyotokea Morogoro jana alipowatembelea na kuwafariji katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Rais Magufuli pia ametoa motisha ya fedha kwa wauguzi na madaktari wanaotoa huduma kwa majeruhi hao.


"Katika taarifa ya Madaktari wamenieleza baadhi ya wengi wameungua nje na ndani sababu ya kuvuta hewa ya Petrol, hawa hawakujitakia hivyo nimeagiza wapate matibabu na chakula kwa gharama zangu nitalipa, Tuvumilie hili linaweza kumpata mtu yeyote, kiukweli hali ni mbaya, lakini tushikamane katika hili, ni majaribu tu ya Shetani na Shetani siku zote anashindwa. " Rais John Pombe Magufuli. #MaombolezoMoro

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad