Rais Magufuli Aonyesha Alivyo Fiti Apiga Push- Up Hadharani

Rais John Magufuli akipiga push-up akionesha jinsi alivyofiti mbele ya umati wa Watanzania waliohudhuria kwenye uzinduzi wa jengo la tatu la abiria (Terminal III).

Leo Agosti 01,2019  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli anazindua rasmi Jengo la tatu la Abiria (Terminal III )katika Kiwanja cha ndege cha kimataifa  cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad