Rais Trump na Mkewe kuzuru Poland na Denmark


Ikulu ya Marekani ilitangaza hapo jana Rais wa nchi hiyo, Donald Trump na mkewe Melania watatembelea Poland na Denmark kutoka Agosti 31 hadi Septemba 3.

Wanandoa watahudhuria sherehe za ukumbusho na kutembelea maeneo ya ukumbusho huko Warsaw mnamo Septemba Mosi kuadhimisha kumbukumbu ya miaka 80 ya mwanzo wa Vita vya pili vya dunia. .

Pia Rais Trump atashiriki katika mfululizo wa mikutano ya nchi hizo mbili huko Denmark kwa mwaliko wa Malkia wa Kideni, Margrethe II.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad