VIDEO: RC Morogoro Eeleza Hatua Walizochukua ‘Tumewahamisha Wote”



Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Steven Kebwe amezungumzia hatua ambazo wao kama Mkoa wamechukua kufuatia ajali iliyotokea Mkoani humo asubuhi ya leo ambapo amesema Madaktari wote wamekusanyika katika Hospitali moja ili kutoa huduma.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad