Sanchoka "Sijapata Bado Mchumba ila Mahari yangu iko Pale Pale Milion 20"


Mrembo Jane Rimoy kwa jina maarufu anajulikana Kama Sanchi au Sanchoka anayefanya shughuli za umodel nchini Tanzania , ameweka wazi kwa mwanaume Mwenye nia ya kumuoa mahari yake kwa Sasa ajiandae kutoa million 20.

Mahari yake imepanda ghafla kutoka million 10 mpaka million 20 kwa vile anadai amezidi kuwa mzuri wa umbo na ngozi kutokana na anavyojitunza

Pichani ni baadhi ya picha mpya alizopost leo katika mtandao wake wa Instagram

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad